Recent content by erickaswaka

  1. E

    JamiiForums Tanzania Serikali mnajua kua Kivule kuna shida hakuna mawasiliano kuja mjini

    Au kwasababu ni jimbo la chama kileeee
  2. E

    JamiiForums Tanzania Serikali mnajua kua Kivule kuna shida hakuna mawasiliano kuja mjini

    Huko mnatakiwa muwekewe daraja la chuma angalau kama yale waliyoweka,pale mlalakua JKT
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kwa afya yako kuweka wallet kwenye mfuko wa nyuma

    Sasa tuweke mifuko ya mbele
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo: Kuna foleni kubwa katika barabara ya Nyerere, tatizo ni nini?

    Pia inavyoonekana magari toka chang'ombe kuja town or wherever yanapendelewa sana hasa kwenye mataa ya chang'ombe na kuna tetesi jamaa huwa wanarushiwa kitu kidogo ndio maana wanaotoka asubuhi gongolamboto au kurudi jioni wanasimama mda mrefu sana pale kwenye mataa mkuu wa trafic inabidi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu uhusiano uliopo kati ya Mnyamwezi na Mtusi ndani ya Tabora

    Mnyamwezi ni kabila kubwa sana ila watu huwa hawajui na ndio mkoa wa tabora ulikuwa mkubwa sana na hata baada ya,kupunguzwa bado ni mkubwa mpanda kigoma sumbawanga katavi inyonga zote zilikuwa,ni tabora lakini inasemekana hata msukuma ni chimbuko la mnyamwezi ila wawo wamelimeza kabila la...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi kwa Dk. Malasusa ni mbinu za wanasiasa kuibomoa KKKT?

    Ila insemekana malasusa asili yake kabisa ni Moravian church
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hivi mmiliki wa Nyumba hii ni nani?

    We nenda kachapie tu humo hakuna shida mi nimemt......mb mtoto wa kiarabu juzi tukatoka salama
  8. E

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano yatenga Tshs Bilioni 495 kununua ndege mbili mpya za kisasa

    Nawaangalia tu nasema hiiiiiii
  9. E

    JamiiForums Tanzania David Kafulila akosoa watu kujipa mamlaka ya CAG

    Ki ufupi huna Sera umefulia kama jina lako
  10. E

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda kuwapima wanaume Tezi Dume nyumba kwa nyumba

    Wamchokonoe yeye kwanza ndio aje nyumba kwa nyumba
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Prof. Assad hakumwambia Rais kuhusu matumizi yasiyojulikana ta Trillion 1.5 alipokabidhi ripoti yake?

    Mimi nadhani CAG awe anakabidhi report moja kwa moja kwa speaker wa bunge, hii iwe sambamba na mabadiliko katika sheria CAG nafasi yake itangazwe pia awajibike moja kwa moja bungeni na sio ikulu
  12. E

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Je, Zitto ni mbadhirifu ktk kile kinachoitwa ubadhirifu wa trilioni 1.5?

    Zama zako zimekwisha wewe nilikufagilia sana ulipokuwa bungeni ukipewa mda wa kuongea nilikuwa nawahi seat ya mbele ila kwa sasa huna mvuto umepauka kabisa hivi kweli report CAG umesoma wewe mpaka uhitaji evidence za zito ni kweli wewe machali shame on you lione kwanza
  13. E

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda kuwapima wanaume Tezi Dume nyumba kwa nyumba

    Watu mna maneno nimechaka mpaka nimejamba mbele ya,watoto
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tafadhali CAG usijiuzulu

    Utamlaje wakati wewe ndio mama sema unaliwa
Back
Top Bottom