Recent content by Erick venance

  1. Erick venance

    Kafulila amjibu Zitto; Rais Magufuli yupo mstari sahihi Sekta ya Madini

    Kwenye majadiiliano yeyote huwa ni win win situation kuna mambo serikali lazima ikompromise na hao wengine lazima kuna baadhi ya mambo lazima wakompromise ndio mtafikia hatima vinginevyo yatakuwa sio majadiliano Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Erick venance

    Kafulila amjibu Zitto; Rais Magufuli yupo mstari sahihi Sekta ya Madini

    Mi nadhani hujaelewa bado alichokiandika Kafulila nenda kasome tena ndio uje ujibu labda unaweza angalau ukapatia kwa mbali Au msubilini zitto ndio aje amjibu Kafulila Kafulila kajibu hoja zote kwa ufasaha nyie mnakwama wapi kwa mfano hiyo hoja yako Kafulila anasema sekta binafsi bado changa kwa...
  3. Erick venance

    Wanachokifanya CHADEMA ni kugawana vyeo si uchaguzi

    Na ule wa serikali ulikuwa uchaguzi wa aina gani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Erick venance

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Mwakyembe sasa umejulikana na sura yako halisi imejitokeza kwamba wewe ni mtu wa majivuno na majigambo. Unapaswa ujue kwamba elimu ni maarifa ni kweli una elimu lakini huna maarifa na inawezekana elimu yako inakutesa mno, ivi hiyo imekusaidiaje au hapo ulipofika ndio kikomo cha elimu yako...
  5. Erick venance

    Vijana kumi bora wanaostahili kuingia IKULU/kuwa viongozi wa nchi

    Hapo ni Tundu lissu wengine wote umeharibu vibaya sana
  6. Erick venance

    Je, watanzania tunataka demokrasia au maendeleo?

    Huwezi kupata maendeleo kama hakuna demokrasia muwe mnafikiri vizuri hata haya unayaona yanafanyika ni kwa sababu ya utisho wa kidemokrasia. Sijui mnakwama wapi kufikiri vizuri Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Erick venance

    Yaliyojiri Ikulu: Mazungumzo kati ya Viongozi wa dini nchini na Rais Magufuli

    Halafu dunia ya Leo sio kumhubiria mtu afanye kazi. Atajituma mwenyewe tu hiyo michezo haina madhara yeyote sema viongozi hawana maarifa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Erick venance

    Tetesi: Imevuja, Chadema na Tundu Lissu wachomoa kukutana na Richard Quest wa CNN

    Lissu anawapumulisha sana tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Erick venance

    Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

    We ndiyo uliompiga risasi mbona unaumia sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Erick venance

    Mnakataa udhaifu wakati mnao!

    Bunge la nchi yetu ni dhaifu mno tena zaidi ya alivosema mkaguzi. Mbona hamjajadili hata kidogo mbunge mwenzenu alivyoshambuliwa mmekaa kimya utadhani jambo la kawaida. Mbona pesa za serikali wakati flani hazipitii bungeni lini mliuliza hata maswali juu ya hilo kama huo sio udhaifu ni nini Mbona...
Back
Top Bottom