Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Lissu soon on CNN na Aljazeera
Kamanda baada ya kicheko utalia sanaNacheka kama mazuri kweli poleni sana Lumumba ha ha ha ha kweli mtaweweseka haswa... huu ni mwendokasi kweli kweli hii ziara msizani ni ya kushtukiza kma zile feki za bandarini..
Kamanda utalia baada ya kuchekaNacheka kama mazuri kweli poleni sana Lumumba ha ha ha ha kweli mtaweweseka haswa... huu ni mwendokasi kweli kweli hii ziara msizani ni ya kushtukiza kma zile feki za bandarini..
Ha ha matusi yanaonesha ulsivyo na hoja, kwa hiyo hajui lingine zaidi ya siasa? au swali alilomuuliza Kenyatta kuwa utagombea mara ya tatu ni swali la kibiashara?nimyi mmewekwa mitandaoni kutukana watu na sio kujenga hoja.
Umemmaliza, jinga WakudadavuwaMzee unafeli sana
Richard Quest ni mtangazaji wa biashara CNN!
Sasa Tundu Lissu yeye ni habari za kisiasa,wapi na wapi wewe mduwanzi!?
Atamuhoji amuweke kwenye kipindi gani?Kipindi cha RQ ni cha siasa?
Mbuzi wa maziwa!
Pumbavu, RQ wapi nawapi na siasa za majukwaani! Huyu ni wa biashara! Umefeli, rubbish!Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Lissu anawapumulisha sana tuNdugu zangu,

Kumbe unawafahamu vizuriWanajua kutengeneza chai za asubuhi
Ndugu zangu,

Kama na wewe ulimwombea basi hata shetani huwa anawaombea malaika....Lissu kaona ni rahisi sana kutembelea vyombo vya habari kuliko kutembelea wananchi wa Jimbo lake na watanzania tuliomuombea apone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ambaye ni makini kwa vyovyote hawezi kuandika kwa mtindo huu. Uandishi wa namna hii unaendana na matamshi ya watu wambeya. Sidhani kama jukwaa hili linahitaji dhihaka ya kiwango hili.Ndugu zangu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ushauri wa JF baada ya mahojiano ya BBC umepokelewa japo hatujatangaziwa rasmi.
Kama ilivyokuwa BBC Hard talk mpango wa Tundu Lissu pia harakati zilifanywa kuomba mahojiano na Richard Quest wa CNN na Shaka Ssali wa Voa, hadi sasa habari zisizo rasmi Tundu Lissu hataenda Marekani.
Baada ya kudadisi na kautafiti nimegundua sababu ni hizi mbili lakini hazijawekwa wazi;
1.) Mapokeo hasi ya mahojiano ya BBC dhidi ya Lissu kutoka kwa watanzania
2.) Akiendelea na ziara atashindwa kujitetea dhidi ya hoja ya Spika wa Bunge kuwa amepona. Hivyo wadau wamemshauri kuwa kuendelea kuzurura kunampunguzia sababu ya kujitetea. Hii inaitwa chezea mshahara usichezee kazi.
Nitazidi kuwajuza kuhusu yatakayojiri hususani suala la maombi ya ukimbizi wa kisiasa kwa ndugu yetu Ansbert Ngurumo.
Kwa wanaopotosha kuwa Quest hafanyi mahojiano na wanasiasa, hapa yupo na Uhuru Kenyatta
5 Things Uhuru Told Richard Quest During Interview [VIDEO]
Huyo ni naibu waziri ati! Kutwa yupo humu na sijui majukumu yake kamwachia katibu wake au dereva naye anatosha! Hili malo litazamwe upya kama kuna haja ya kuwa na manaibu mawaziri katika nchi hii ili kuwapungizia makali ya maisha walipakodi kwani hawana umuhimu wowote na hata kazi zao hazieleweki! Waondolewe na pesa zinazowahudumia zifanye shughuli nyingine kwa wananchi
Bora umejua mimi ni Kamanda mtiifu
hana hekima hafaiLissu kaona ni rahisi sana kutembelea vyombo vya habari kuliko kutembelea wananchi wa Jimbo lake na watanzania tuliomuombea apone.
Sent using Jamii Forums mobile app
KakwepaHa ha ha aende tu akaongee maana hakuna jipya atakaloongea zaidi ya zile pumba alizoongea BBC . Yaani kama hiyo ndo strategy ya CHADEMA ya kumtumia Lissu kuichafua TANZANIA basi watafute mtu mwingine