I really do not know where our country is going but I fear we are being led from democracy no monarchy and not a good monarch but a tarrant one. It is sad that even what I write now may take me to jail even though it is my constitutional right to give my thoughts and views in the open
Kuna maan gan ya kauli "innocent until proven guilty"? Wewe ni nan kusema huo ushahid ni WA kwel?? Mahakama inakaz gan kwa kaul hyo au watu wanaenda kupoteza muda tu pale?? Hata kabla ya Republic systems falme zilikuwa na systems za mtuhumiwa kujitetea...
Anayekukashifu hajua magumu ya maisha. Hata kwa manafunzi anayemaliza masomo ndan ya miaka hii iliyobak anaogopa kuanza maisha ya utumishi. Kwasababu hii ni sulubu na kupata presha chini ya miaka 40
Kwa namna hii si nusu ya mshahara wako unarudi serikalini. Mwaka wake WA pili huu na haueni ya maisha kwa mnyonge haipo. Kwa makato haya purchasing Power ya mtu itashuka sasa hvo viwanda anavyoanzisha bidhaa zake zitanunuliwa na nani kama hata soko LA ndan halina uwezo WA kununua,Watu hawana...
Mimi ni mwanafunzi WA chuo na unayosema yamenikuta kwasababu nili Soma private secondary lakn wakati nimemaliza wazazi wangu wote wawili walikuwa wastaafu. Nilichaguliwa course yenye kipaumbele wakat huo yaan engineering lakini nilipewa hela ya kujikimu tu na sina ada hadi sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.