Recent content by Erick Kaijage

  1. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wa Sirali muwe watulivu kwenye kipindi hiki kigumu baada ya kuondokewa na mpendwa wenu Suguta Chacha .

    Hahaaa mbona unaguna? Hawa jamaa so ndio zao? Halafu wanasema hakuna ushahidi
  2. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wa Sirali muwe watulivu kwenye kipindi hiki kigumu baada ya kuondokewa na mpendwa wenu Suguta Chacha .

    Nawaomba wananchi Wa Tarime msichukue sheria mkononi badara yake muwaachie wafanye upelelezi wao.
  3. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania New Vision: Rais Magufuli anakosolewa kuendesha nchi kidikteta, Maxence asema bloggers wengi watashindwa kulipia tozo

    Kwa kufanya hivyo wananchi watakuwa hawana sehemu ya kupata updates za vitu mbalimbali
  4. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma: Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ni Taasisi ya Umma

    Wao mbona wanaingilia siasa?
  5. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA augua ghafla, akimbizwa Hospitali ya Amana! Mwenyewe akanusha na kusema haumwi

    Karibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelazwa katika hospitali ya Amana baada ya kuzidiwa ghafla.
  6. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda aahidi kuijengea nyumba familia ya Marehemu Athumani Hamis

    Hajengi makonda inajenga serikali kwani makonda anatoa pesa zake!
  7. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Dkt. Vincent Mashinji ataja sababu za hamahama CHADEMA

    Njaa noma sana!
  8. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Hii ni laana kubwa sana.

    Kijana wa mia 35 amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka kikongwe wa miaka 90 huko Tabora mnamo tarehe 4/12/ 2017.
  9. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kusema mafanikio ya serikali katika vikao vya chama?

    Hakuna shida kwa maana lazima Rais uwaeleze wanachama ambao ndio wamekupa nafasi kutimiza sera zao
  10. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Kwa sura yake ilivyo mbaya, kamwe sitozaa naye.

    Mwanaume pesa sura hata mbuzi anayo !
  11. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na rafiki wa msichana wangu, roho inaniuma sana

    Sio bure umelogwa!
  12. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla uko kimya, mchukulie hatua Nyalandu dhidi ya zile tuhuma

    Alikuwa anapiga mkwara tu! Hana ushahidi wa kutosha bila shaka
  13. Erick Kaijage

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CWT, Dodoma: Rais Magufuli awajaza pesa Walimu! Awataka kutochagua mtu kwa matakwa ya rushwa au siasa

    [emoji16][emoji23][emoji23] Havuti mtu bangi hapa kaka!
Back
Top Bottom