Kama mnaweza, kuna kazi nyingi sana online, ila inahitaji juhidi sana, hasa wewe wa graphix ndio sana. Ingia website hii, www.odesk.com utaona. Sign up kwanza fanya test pale za profession yako, weka portfolio zako, work experience and education background. Sio kama online job zingine, hapo...