Waache wachunwe wasije singizia seikali inawazuwia kwenda mbinguni,hawawatu wana akili na utashi ila wanadanganywa kwa tamaa zao nafikiri waachwe waingie ngomani was cheze
MAYALA huo ni ukweli nakubali .
Waje sasa na solution watafanyaje wapinzani ili waishinde CCM ,ni kwa kura ?
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Msumbiji na Africa kusini walikuwa mashujaa wapo waliopambana msituni miaka mingi hapa nani lapambana msituni? Unafananisha wale watu na sie kweli are u serious ?
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Fikiria nini kimeandikwa hukusoma tamuthilia we sie tulisoma no longer at easy,Things fall apart ,The liver between
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje?
CCM ,wanalijua hilo kuwa niwa milele ,ndio maana walipo anza mchakato wa Katiba walisituka haraka sana wakaharibu bunge la katiba kwa mkakati maalumu
Wapinzani wakajichanganya eti...

Ndugu ya MAYALA ww na makonda ni kabila moja na huna namna lazima ,uma na kupuliza.
Hoja yangu ni hii
Ndugu yako ni mchafukoge yaani anajua sana kuchafua maji yaliyo tuama kisimani,tena kwa kuchukua vumbi LA nje kumwagia ndani akidhani akifanya hivo tope LA ndani litatoka kwani vumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.