Sheria na kanuni mmezikiuka wenyewe ambazo zinaelekeza vizuri sana
Msajili alitakiwa alete pingamizi lake kuanzia leo jioni na kisha Act watoe maelezo utetezi kisha tume iamue na kanuni iko wazi.
Pia Tume mnaamuaje kesi bila kusikiliza upande wa Act.
Kama kanuni mnaanza kuzishinda hivi mapema je...
Kwani kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura ilipeleka taarifa za watu ambao hawana sifa ya kupiga kura wakiwemo marehemu.kama haikupeleka mamake tume itaota fulani alishafariki
Naendelea kushangaa inafanywa harambee kwa ajili ya kampeni badala ya kufanya harambee ya kununua hata kipimo cha kuwapimia wajawazito damu bule kila wanaporudi kliniki badala ya sasa kila wanaporudi lazima uwe na 3000.
inawezekana kumbe tunaweza kufanya harambee ya kutengeneza miundo mbinu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.