Recent content by erasm. fredrick

  1. E

    Baki njia kuu

    Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi kwake. Kamuaga mkewe anaenda China kwa ndege ya Malaysia iliyopotea, tena kasindikizwa hadi airport. Kumbe kazama mtaa wa tatu kwa nyumba ndogo. Sasa ndege imepotea na abiria wote. Akirudi kwake atajieleza vipi na ndege bado haijaonekana? Michepuko sio...
  2. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Me nipo shinyanga nataka kuja kilimanjaro
  3. E

    Matokeo COET- UDSM first semester hewani.

    Ila kweli mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe jamaa nae ana makosa asipende kujisifia et yupo kwenye ajira kwan ndio kipimo approach yake ilikuwa co et humu n ubao wa matangazo we kwan ndo owner aache zarau
  4. E

    Ngarenaro leo.........

    Karibuni seven up freedom bar kwa wapenda supu tukitoka tukashushie na nyag milestone
  5. E

    Uwongo noma

    Kwann ila nyie wasichana n waongo xana i don trust any women
Back
Top Bottom