Recent content by Equalise

  1. E

    JamiiForums Tanzania Picha: waturuki wakikarabati uwanja wa mkapa

    Huelewi ndugu hana maana hiyo. Usalama wa hao vibarua haujazingatiwa..no safety boots,no gloves, wamevaa kaptula, reflector jacket huyo mmoja kavaa kihuni halafu serikali inapiga nao picha.Sasa makosa ya wazi hayo serikali iliyopo hapoa inashindwaje kuyaona?
  2. E

    JamiiForums Tanzania China imevunja rekodi ya ujenzi kwa kujenga nyumba yenye ghorofa 10 kwa Saa 28hrs

    Kujenga kunahusisha kufabricate hizo units. Fabrication haikufanyika ndani ya hayo masaa bali ilifanyika kabla ndio wakaja kuassamble na kusimamisha ndani ya hayo masaa. Kwa hiyo kutumia neno 'kujenga' sio sahihi maana inaweza kueleweka kuwa kila kitu kilifanyika ndani ya hayo masaa wakati sio...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Miziki na Movies kwenye mabasi zipigwe marufuku, zinachangia mmomonyoko wa maadili

    Na wale ambao hawana uwezo wa kupanda ndege watoto wao waharibikiwe?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Miziki na Movies kwenye mabasi zipigwe marufuku, zinachangia mmomonyoko wa maadili

    Ndege sio private car ,je hayo mamiziki ya kipuuzi yapo?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Miziki na Movies kwenye mabasi zipigwe marufuku, zinachangia mmomonyoko wa maadili

    Unamlinda mtoto nyumbani kwa kutoangalia mamiziki na movies za kipuuzi lakini unakutana nayo kwenye mabus siku ya kusafiri na mtoto. Mamiziki mengi Kwenye mabus ni ya kipuuzi yenye kutikisa makalio, kuvuta sigara.Pia unakuta wanaweka movies zenye sehemu wakifanya ngono. Kuna siku kwenye bus...
  6. E

    JamiiForums Tanzania TFF ni chombo ya Simba

    Nyinyi mashabiki maandazi ni manafiki Sana. Hivi wewe utaona Sawa na kufurahia timu yako ya Uto ikiambiwa iende ikacheze mechi sokoine Mbeya Kwa mechi iliyopaswa kuchezwa Dar?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Mama katika Klabu ya AC Milani

    Sawa Sisi wababa tunaendelea kupambana ili muendelee kuimba nani kama mama.
  8. E

    JamiiForums Tanzania KMC kusema wanacheze Dar ili kuwasaidia Simba ni sawa na kutoa penzi kwa Simba kama Zawadi ya kuingia fainali

    Chakushangaza kuna majitu yanalaumu mechi kurudishwa Dar, utafikiri yenyewe yatafurahia tu timu yao ikiambiwa ikachezee sokoine Mbeya mechi iliyopaswa kuchezewa Dar. Unafiki tu.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yanga haina sababu ya kuhofia Simba, Nia ni kuondoa uhuni pale TFF

    Giant gani huyo underdog. Leta club ranking uone nani giant.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Soka nchini yameletwa na Azam TV, wadhamini na wafadhili wa vilabu sio umahiri wa Bodi ya Ligi wala TFF

    Ukifikiri vizuri utaona mchango wa TFF lakini ukitumia mihemko hutaona.TFF ndio waliowatafuta hao wadhamini wa ligi NBC bank. Kuna kipindi cha hii TFF ligi ilikuwa haina wadhamini baada ya Vodacom kuondoka.Kumbuka NBC bank ilikuwepo tangu enzi hizo lakini imekuja kudhamini ligi kipindi hiki...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Unasafiri kwenda Ulaya kutazama uefa halafu bado timu inafungwa. Je, huna kazi za kufanyia pesa zako na huku umeajiriwa?

    Sio la 7 ni la 5. Kumbe humu unabishana na mtu na linakuwa ngumu kuelewa kumbe ni litoto.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Rais Karia na TFF yake kwa ushabiki huu wanaenda kuua soka letu

    Sawa ngoja nikae kimya.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Rais Karia na TFF yake kwa ushabiki huu wanaenda kuua soka letu

    Sijatetea wapuuzi waliozuia mazoezi lakini kulikuwa na namna ya kuwaadhibu na sio kuahilisha mechi. Kanuni yakufanya mazoezi Kwenye uwanja wa mwenyeji ipo hasa Kwa ajili ya timu ngeni inayotoka mji mwingine au nje ya nchi. Hakuna sababu yoyote ya maana kutaka kufanya mazoezi Kwenye uwanja wa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Rais Karia na TFF yake kwa ushabiki huu wanaenda kuua soka letu

    Mimi ni Simba lakini nyinyi Uto mna point, hawa TFF mizinguo. Wangekuwa na msimamo Ile siku derby ingechezwa na kama kweli nyinyi mlituma makomando TFF wana mamlaka makubwa tu ya kukomesha huo upuuzi wa makomando na sio kuahilisha mechi. Lakini nafikiri TFF walikariri kutokana na derby ya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

    Hata iwe ni nyakati hizi huwezi kutumia neno 'kamwe'(never).Kwa hiyo wewe unaamini kabisa Simba Vs Yanga, win probability Kwa Yanga ni 100% na Simba ni 0%. Tumia akili na sio mihemko.
Back
Top Bottom