Recent content by epination

  1. epination

    Kuhusu course itolewayo na The Mwalimu Nyerere Memorial Academy .

    Kuna course ipo The Mwalimu Nyerere Memorial Academy Nayo ni: BACHELOR DEGEREE IN MANAGEMENT OF SOCIAL DEVELOPMENT kwa anayejua wanakuwa wakina nan? Nasikia inaitwa Multipurpose ni kweli? Watu walioisoma wanalalamika kuwa zikitoka nafasi za ajira kama tutorial assistant community Development...
  2. epination

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Je account yako imetoa neno pending kwenye interview
  3. epination

    Mrejesho kwa waliofanikiwa kupitia TAESA

    Dsm kulikuwa na training july so unachotakiwa ni ww kubook for training then ukihudhuria unapangiwa siku ya interview
  4. epination

    Binti Kapandisha Mapepo Gheto

    Huyo dawa yake ni Kukaa na mafuta ya kitimoto Ndan na udi ukiona ameanza paka Mafuta na na wash udi lazma atoke nduki
  5. epination

    Mimi binafsi naanza kumuelewa RC Mkonda juu ya swala la kuvamia Studio ya Clouds Media!

    Kuzoea zoea Sana utazoea majini na Pia kujuana Juana sana ndo kuja kuharibiana CV[emoji40]
  6. epination

    Mimi binafsi naanza kumuelewa RC Mkonda juu ya swala la kuvamia Studio ya Clouds Media!

    Kulikuwa na ulazima gani wa kuwafuatilia clouds muda huo wa saa5 KwaNini asingeenda kesho yake kufuatilia ni Kwa nn hawakurusha kipindi kuhusu Huyo mama. Na Kwa nn aingie na crew nzima ya polisi Ndan ya studio kama Alikuwa akihitaji ulinzi mpaka Ndan hana bodyguard angeingia na...
Back
Top Bottom