Recent content by ephraimluis

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Mabadiliko kwanza ayo mengine badae
  2. E

    JamiiForums Tanzania LOWASSA agoma kujibu swali la RICHMOND mkoani Dodoma

    Inamaana ufisai nchi hii ni rich mond tu naona mnakomaa na jambo moja tu wakati kunaufisadi kibao ushafanyika nchi hii? mbona escrow ni jambo bichi sana lakini mnalifumbia mcho .
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zanzibar watapungua kwenye bunge la JMT

    Kwani bunge la zanzibar linawabunge wangapi wa tanganyika?.jibu hakuna hata mmoja .kwanini wao wapo kwenye bunge la muungano pia wameunda bunge lao basi na tanganyika kuwe na bunge la tanganyika tu..alafu kuwe na bunge la muungano ili twende sawa
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Gwjima hana kosa apo mwenye makosa apo ni uyo padli msaliti sababu nae analiju neno akuanzae mmalize
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Teh teh teh jamani laha sana ebu waacheni hawa watumishi wa bwana watupe raha .padri vs.askofu inanogaje?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Kama gwajima ni msanii .basi jua hata slaa ni msanii..hakuna kulia apa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Ya kaisali mpe kaisali na ya mungu mpe mungu mbona hata slaa nae ni padli lakini kamchafua mwenzie msiangalie upande mmoja.sababu yeye slaa kaja kimwili nae kajibiwa kimwili .no. koment
Back
Top Bottom