Hata hiyo ya Msando wamesubiri, kwanini wawe wa kwanza na si serikali. Wajibu hoja ya Msando, watoke ofisini waende field, au wanaogopa Corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waandishi wa habari za kiuchunguzi sijui kama wapo, Risk ni kubwa alikuwepo JM, Na Kabendera. Na nje kuna kina Kashogi. Hawataki ku take risk, wanataka upande ambao upo soft wanasubiri serikali itangaze then wao wafuate. Wanaogopa kutafuta ukweli au ku balance story.
Sent using Jamii Forums...
Price tags, wakifika bei unakana uliyosema au kuandika jana . Tubakishe akiba ya maneno. Kama ni kwenye group la wapiga, wengi wameleft kwasababu wanaona ni bora wapambane na hali yao.
Haiwezekani nikuteuwe halafu ukamtangaza mpinzani ni mshindi, kipindi cha utawala wangu hilo haliwezekani
Huyu moyoni ni ccm kabisa kwa nje ni Chadema ,si uhamie tu ccm tuchape kazi
Ifikapo 2020 hakutakuwa na upinzani
Haiwezekani niwape fedha za miradi wakati hujaunga mkono bajeti
Kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.