Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020 Tanzania ilipokaribia uchaguzi mkuu. This time, nafikiri REDET wanapaswa kufanya utafiti wa kisayansi...
Kila mtu analijua hilo ndio maana mara hii hujaona wale wapiga dili wa kula za maoni ...manake wamejaribu kupika mambo yamegoma....kila aliyetaka kufanya utafiti kapigwa ban...kumbuka kuna wengine wanapewa pesa za nje ila bado tu wamegoma kufanya hiyo kitu...
katonywa na Mzee wa msoga na Mama...babaa utaaribu...yule dogo (Polex2) ana info kibao.....Rostam angekuwa msafi angeitisha press kama alivyofanya kipindi kile kumjibu Mengi (Marehemu) baada ya kulipiliwa kwa kuitwa fisadi papa ahaaaa
wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa nyumbani..
kilichotugharimu
1. Benchi la ufundi buree hamna kitu pale...watu wamewekwa pale kisiasa ...
Hapa hamna hoja mbona hamjazungumzia hiyo picha nyuma yake!!!... Huyu n rahisi wa nchi yupo kila mahali..pamoja na utapeli, ulighai na wizi ulokubuhu wa kura na rasilimali za nchi unaofanywa na Thithiem ila kwa haya mengine hatuna hoja
Ila mnajuaga kutuona waTZ mazwazwa hivi kati ya wewe K na Polex2 aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama,Mjumbe wa CC anayekuamlisha wewe na wenzako nini cha kufanya nani asiye na uelewa kuhusu mfumo wa uchafuzi wa tume yenu...mbona mnaogopa kumtaja jina...subiri akusikie aje akuvue ngua na kukutaji...
Unaweza kudanganya kwa mda ila sio ziku zooote... Boss upepo umepuliza nyeti za kuku zimeonekana mubashara....nachelea kusema uwelewa wako ni mdogo naamini wewe ni kada....Polepole kamaliza kila kitu nashukuru Mungu kadi yangu ya NIDA sikumpa Mwenyekiti wa Mtendaji..ila kwa akili zenu najua...
Mku awataje mara ngapi...yaani wewe mke wako kakimbia nyumba yake akilalamika kuwa unyanyasaji wa watoto naa mambo ya ajabu ndani ya familia yamemshinda arafu mtu anatoka pembeni anamwambia mtaje huyo anayeharibu familia kweli!!!!!!????? Watanzania tuache kujitoa akili....
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.
Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.