Recent content by Entare nshaija

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Haya ni madhara ya muungano wa kulazimisha
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo : Walioiba grenda ya huyu jamaa wairudishe. Kesho saa kumi mwisho wa Tangazo. Kitachofuata mtakiona.

    Huo ni muhtasari wa habari ya biashara, tusubiri habari kamili.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ma-MC mnatusababishia shida sana kwenye familia zetu, Tabia hii ni mbaya mno

    Weka hapa hiyo picha ili wanajukwaa tujihakikishie kama kweli kakudhalilisha
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi uongozi wa kata kuweka mipaka kwenye shule iliyojengwa kipindi kirefu bila mwalimu yeyote au jirani kuwepo ili kuonesha mipaka?

    Elewa msingi wa mada, ni sahihi mtendaji kupunguza eneo la shule bila kushirikisha uongozi wa shule? Mambo ya kujenga shule nyingine au matumizi mengine yangejulikana endapo kungekuwa na vikao vya uwazi ambapo mwl mkuu pia angekuwa mjumbe wa kikao hicho. Sio udakie tu. Kumbuka mwl mkuu ni...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi uongozi wa kata kuweka mipaka kwenye shule iliyojengwa kipindi kirefu bila mwalimu yeyote au jirani kuwepo ili kuonesha mipaka?

    Yameshangolewa na ndo jambo lililompelekea mtendaji huyo kutukana na kumuhamuru mwl mkuu kuirudisha hiyo mipaka
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi uongozi wa kata kuweka mipaka kwenye shule iliyojengwa kipindi kirefu bila mwalimu yeyote au jirani kuwepo ili kuonesha mipaka?

    Kama mada ilivyo hapo juu. Shule ya msingi Goziba ni shule ya kisiwani Goziba kilichopo katika ziwa Viktoria wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera iliyoanzishwa tangu mwaka 2003. Mtendaji wa kata ya Goziba ndugu Magreth Peter Mashenji aliunda kikosi kazi ili kiweke mipaka kwenye shule ya msingi...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tulioamka tumejilaza vitandani tujuane

    Ndo nataka nilale
  8. E

    JamiiForums Tanzania Soma na uelewe

    Ahsante kwa fundisho
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nyerere kaleta uhuru Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli hawana cha kukumbukwa labda Samia akitupatia Katiba Mpya

    Umeona mbali japo wachumia tumbo hapa jukwaani watakubeza mno. Hawa ndo kawaida yao wanaweza kukulazimisha uamini kuwa I+1=4
  10. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu baba yangu ambaye ana tabia inayotupa mzigo watoto

    Ni hospitali gani hizo? Ziko mikoa gani?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu baba yangu ambaye ana tabia inayotupa mzigo watoto

    Nafikiri ni nyumba za kupanga. Ukizingatia mwandishi ashasema baba haeleweki.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu baba yangu ambaye ana tabia inayotupa mzigo watoto

    mh! Nimerudia kusoma sijaona alikoandika neno sumu, au nina matatizo ya macho?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wakulima waandamana mkoani Kagera kwaajili ya kuwaombea msamaha wanasiasa ambao hawatambui mchango wa serikali katika sekta ya kilimo

    Nimejitahidi kuangalia mara mbili mbili ili nione kama watu wanaomba msamaha kweli ila sijaona dalili yoyote, hii picha ni miongoni mwa zile za waombolezaji kipindi cha ajali ya ndege
Back
Top Bottom