Recent content by Enrico Enrico

  1. E

    JamiiForums Wanaume wengi wananuka miguu

    Labda kama shughuli zake anashinda juani. Mtu umeamka zako, umewasha gar hadi ofisin. Ofisi ina AC. Umemaliza kaz jion unarud zako home jua limeshapungua. Unaanzaje kunuka miguu?. Joto (jasho) + uvundo + kutobadili Soksi = kunuka Miguu
  2. E

    JamiiForums Wanaume wengi wananuka miguu

    kwan inakuwa ni Fungus?. Nadhan shida ni Mwanaume kutokubadilisha Soksi. Utakuta ana pea 2 za Soksi. Na anavaa pea moja kwa wiki 2 hadi 3. Tena wakat wa kuvaa hafuti vizuri vidole vikakauka. Kwahiyi inatengeneza uvundo . Unaokuwa mkubwa kila baada ya siku. Bado shughuli zake anafanyia Juani...
  3. E

    JamiiForums Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Lara1 ndio Mange mwenyewe. Alikuwa na blog yake. Asingeweza kuandika jina lake halisi huku JF. Maana JF alikuwa competitor wake kwa kipindi kile.
  4. E

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    CAF imefungia viwanja vingi ambavyo havina ubora. Kwahiyo team kama haina kiwanja bora bas itachagua kiwanja kimoja bora miongoni mwa viwanja ambavyo viko kwenye List ya CAF. Sasa ikatokea wapinzan wa Yanga na Simba wote wakaamua kuj kucheza mechi zote TZ. So mechi ya kwanza team ya nje...
  5. E

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mlinde Pyramids . DC. alafu weka mke. Mukide
  6. E

    JamiiForums Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huu unanukia utuli. Mkuu hebu tupia wa odds 3-6 hivi. Na mm ngoja nitulize kichwa.
Back
Top Bottom