Recent content by Enorme

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Naomba ufafanuzi juu ya ufugaji wa kukua wa kienyeji kisasa zaidi na masoko yake kwenye kuuza kuku pamoja na mayai.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Akikosolewa Alikiba sawa, ila akikosolewa Diamond chuki!

    Tatizo ushabiki maandazi mwingi na ile timu timu isiyokuwa na maana..."always am support the good music alive" kukosolewa kwa mwanadamu ni kawaida chukua makosa kayafanyie kazi...mbona kiba wamemkosoa sana huyo diamond ni nani mpaka asikosolewe.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo katika Bank

    Sawa ndugu nawasubiri nipate kujua kuhusu hilo jambo.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo katika Bank

    Nashukuru sana ndugu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo katika Bank

    Ndio yana hati miliki kutoka wizara ya ardhi.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkopo katika Bank

    Naomba mnisaidie ndugu zangu. Nna hekari 4 za miti aina ya pines zenye umri wa miaka mitatu (3) nahitaji kwenda kukopa bank na hayo mashamba yawe ndio asset katika huo mkopo na nahitaji 20ml. Je naweza kupata? Na taratibu zake ziko vipi mpaka wakatoa huo mkopo? Natanguliza shukrani zangu za...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Asante kilimomaarifa.tajiri nimekuelewa vya kutosha hapo juu ya hilo swala na je faida yake inakuwaje? Pia soko lake linapanda na kuahuka ama liko constant?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Kwa ekari moja gharama zake za uendeshaji zikoje kwa mkoa kama morogoro?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kipindi gani ni kizuri kwa kulima Matikiti maji kwa Morogoro

    Asante sana
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kipindi gani ni kizuri kwa kulima Matikiti maji kwa Morogoro

    Naomba mniambie ni kipindi gani kizuri cha kulima matikiti katika mkoa wa morogoro kwa maana nataka kuanza kulima lakini sijui muda wake mzuri ni upi.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kupima udongo kwa ajili ya kilimo

    Kwa morogoro mnaweza fika na kufanya hiyo huduma?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Faida ya kununua viwanja vilivyopimwa

    Migogoro ya ardhi nchini ni moja ya matatizo makubwa yanayotokana na watu wengi kununua viwanja au ardhi ambayo haijapimwa na serikali kwa kushirikiana na wadau wa ardhi nchini. Kutokana na ardhi kubwa kutopimwa, hali hiyo inasababisha wananchi wengi kuingia kwenye migogoro ya ardhi isiyokwisha...
  13. E

Back
Top Bottom