Recent content by Enock Rutha

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema hili ila mnisamehe tu

    Utakuwa umeolewa wewe. Pole endelea kulishwa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema hili ila mnisamehe tu

    Ndoo unaaminika na wengi kumbadirisha mkuu wa kaya
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema hili ila mnisamehe tu

    UPINZANI TANZANIA NI KAMA KUCHWA CHA MWENDA WAZIMU. NIA TUNAYO LAKINI TUMEKOSA MTU WA KUMTUMA ASIMAME BADALA YETU. Pole sana watanzania wenzangu badala ya kutumia muda mwingi wa kulalamika mitandaoni tujipange kwenye makundi madogomadogo tufanye kazi tule kwa jasho sioni namna nyingine ya...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajivua, CHADEMA wanajifunika magamba 'gubigubi'

    Upinzani Tanzania ni kama kichwa cha mwenda wazimu. Nia tunayo lkn tumekoswa wa kumtuma atutetee. Poleni watanzania.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nampenda ila nashindwa nimuanzeje?

    Limtu lenyewe limevaa nguo za Mdogo wake afu eti unatafuta namna ya kuingia hapo
  6. E

    JamiiForums Tanzania More than serious nahitaji mume wandugu

    Sipendagi kucomment ujinga ila hii kali. Yaani miaka 32 wamepiga weeee mpaka wamechoka ndo mtu anastuka istoshe bado ana masharti afu anasema serious. Na mtaisoma namba tu siku hizi mbegu 'xy' imeanza kuadimika na 'xx' za siku hizi ni hivi kama Mungu ndo anaanza uumbaji vile watoto ni wakali...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshatembea na yule house girl

    Duh watu wanajiamini ktk uovu. Hivi huyo ni mungu wanamna gani unaenda kumuomba ili akupe kibari cha kutenda uovu kama huo.
  8. E

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Badala ya kushinda tunamtuhumu mzee wa kaya mitandaoni bora tutumie muda huo kujishughulisha hata wa kumi alianza na moja. Tutazoea tu. By me
  9. E

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    You can't cross the river twice by Emecritus
  10. E

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Know thyself by Socrates
  11. E

    JamiiForums Tanzania World most famous people with their QUOTES from their great SPEECHES

    Na wapigwe tu by......
  12. E

    JamiiForums Tanzania 25December Christmas Day

    Hamna cha kufupi hapo hiyo ni summary arafu
  13. E

    JamiiForums Tanzania 25December Christmas Day

    Hapo tu ndo huwa nachoka ingekuwa ni story flani hivi yenye mambo yetu Yale mtu achoki kusoma
  14. E

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nampenda ila nashindwa nimuanzeje?

    Mtu mwenyewe kavaa nguo ya Mdogo wake. Watu wengine bwana
  15. E

    JamiiForums Tanzania 25December Christmas Day

    TAREHE YA KUZALIWA KWA KRISTO by Fr TITUS AMIGU Nimeombwa nifafanue tarehe ya kuzaliwa Yesu Kristo kama ni kweli ni tarehe 25 Desemba au la. Lakini kwa ajili ya kuwekana sana nimeyagundua maswali mawili yanayoweza kufuata baada ya kujibu swali hili la msingi. Ndiposa nimeambatanisha majibu...
Back
Top Bottom