Naomba kujua changamoto hasa ni nini maana mimi ni wakala wa wa Airtel Money ila sasa kuna baadhi ya wateja namba zao ukiwa unaziwekea hela yaani umeweka namba ya mteja na kiasi ukishakubali tu inaandika neno "Success in Swahili" na hapo ndo inakuwa ndo mwisho maanake haiendelei na mteja hela...
ww wasema ila sio kwamba wanaume tunashindwa kuwapa hizo simu kali ila huwa n income level ndo inawahukumu wanaume wengi.
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
mbona huwezi tumia akili yako tu ya kiutu, kama kitu unaona hakikuhusu ni bora sana kuachana nacho na sio kuandika utumbo.
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea hela hela yake, mwenye uelewa tafadhali anipe upeo.
Dar es salaam Young Africa ndo habari ya mjini kwa sasa huwezi kuta Sawadogo anauliziwa hata Mbeya city.
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.