Tanesco wafuate wateja kwa maana ya kuwapelekea nguzo za umeme pasipo tozo au malipo ya nguzo ili ata wale ambao hawana uwezo wa kununua nguzo waweze kuingiza umeme kwenye nyumba zao kwa gharama nafuu.
Wanachokifanya hapo ni kupiga changa la macho Kwa wananchi tu na kapiga kick ili ionenekane serikali inawatetea wananchi wakati tunajua kwamba ni maigizo ndio yanayo fanyika tu.
Utawala tulio nao sio mzuri hata kidoho maana ni kandamizi sana tupaze sauti Kwa pamoja titashinda. Pole sana kamanda kwa mateso na misikosuko iliyo kupata.
Kiukweli inaumiza sana watu wanashinswa kuuliza mambo ambayo ni muhim ktk taifa letu wanaanza kuuliza mambo ambayo hata kabisa. Badala ya kuhoji Kwa kiundani zaidi kuhusu muswada habari ambao unakuja kukandamiza media hapa nchin wanaanza kuhoji mambo ambayo hata hayawahusu hata kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.