Na akikudeshi kulalalia au kukimbilia kulia we pitia huko aliko aliko lalia kwan hubadili aamuzi ghafra na kupitia aliko acha wazi ili we ukijaa tu unakurana nqae huo ndo utaratibu wake.
Koboko hauwawi kibabe na buduki wajomba bali kwa njia rahisi km kipande cha mti cha urefu wa two /three ft mponde nacho kikakamavu kwa kulenga lakin ukiwa umekilaza mara akikiona ataanza ujinga wake waku round round akiwa ameinua kichwa kwa kukuduata ndo atakpokutana nacho hapo ndo mwisho wa...
Mwanagu hata tabora wamekata ila hakuna pafume isiyo kamatika labda wailipue itv na radio one. Kwn mzee mengi ni mzalendo naamini hawezi acha wanyonge tufunikwe na mafisadi ndani ya tz yetu.
Siku zote cheo ni dhamana na hata Salio hugeuka kuwa njaa. Lazma km kweli sheria hazibagui wasikini tu hapa ndo pakurudishia heshima ccm kwa wa tz, kamata, filisi na weka ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.