Recent content by Enoc jophrey

  1. Enoc jophrey

    Theod kitenge shirts

    For only Ksh. 1500, all sizes available, I welcome u my friend. Check me on WhatsApp +255 686 871 887
  2. Enoc jophrey

    Theod Cotton kitenge shirts

    10pcs mapengo junior
  3. Enoc jophrey

    Theod Cotton kitenge shirts

    Zinapatikana kwa size zote na rangi zote yaani kuanzia S mpaka 3xlarge,kwa wale Wa mikoani utatumiwa mpaka ulipo bila shaka yoyote,bei ni tsh 25000 kwa rejareja na kwa jumla ni tsh 15000 karibuni sana mawasiliano 0686871887 au 0756058565
  4. Enoc jophrey

    Namtafuta Kaka

    Tatizo watanzania tuna kuwa na wrong vision always,kila kitu kinapindishwa na negative side,sio vizuri Mambo mengine ni serious na mpaka MTU anafikia kuweka Thread anamaanisha.Mungu mwema nimempata kaka angu Mwema
  5. Enoc jophrey

    Namtafuta Kaka

    Wa nini@mzalendo
  6. Enoc jophrey

    Namtafuta Kaka

    Wapo ma He,ila tu si kila aliyekuwepo anaeeza kuwa nduguyo@jenerali Ambamba
  7. Enoc jophrey

    Namtafuta Kaka

    dexterous,sio kila kitu utani ndg mengine ni makini jamani
  8. Enoc jophrey

    Namtafuta Kaka

    Hata Dada pia karibu Evelyn Salt
  9. Enoc jophrey

    Namtafuta Kaka

    Katika maisha tunaishi wote kama ndugu,haijalishi mmetoka ukoo mmoja,familia au hata taifa moja,lakini wote tunapokutana mahali tunajikuta tukiwa kama ndugu wamoja. Nimeishi pekee kwa muda sasa nikiwa mwenyewe,kila nikiona na kusikia wenzangu wakiita na kujivunia kaka zao roho imekuwa ikiniuma...
  10. Enoc jophrey

    Vikapu vya Deri Derish

    Asanteh sana ndugu yangu,Amina nitasonga mbele kwa maombi yako pia Zamiluni Zamiluni
  11. Enoc jophrey

    Vikapu vya Deri Derish

    Ni vikapu hivyo rafiki@victor Wa happy
  12. Enoc jophrey

    Vikapu vya Deri Derish

    Picha zake hizi hapa
  13. Enoc jophrey

    Mradi wa kushona viatu na kuuza

    Nakuombea ufanikiwe lazima tujikubali watanzania kwa nini tunabaki nyuma
  14. Enoc jophrey

    Mradi wa kushona viatu na kuuza

    Ushauri wote waliotoa wadau ni mzuri sana,ufanyie kazi huwezi toka hivi hivi,kikubwa ni uthubutu tuu,kwa nn tushindwe sisi?kila kitu kitoke nje?lazima tukubali kuumia ili mwisho tuone matunda ya jitihada,big up sana wazo zuri mnoo
  15. Enoc jophrey

    Msaada wa ushauri

    Asante sana kwa ushauri wenye busara kubwa,nitafanyia kazi@Ngwananzengo
Back
Top Bottom