Recent content by engwe1980

  1. engwe1980

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Kumbe ni Lawyer, ndio maana jana alikuwa akiwakamata pabaya.
  2. engwe1980

    Kumekucha: Tathmini ya Adhabu ya Akina EL na BM Haina Ukomo

    CCM kiboko, hii mbinu ni mwisho wa mambo. Sasa sijui watalazimisha kwenda kuchukua form wakati wamefungiwa?
  3. engwe1980

    Kumekucha: Tathmini ya Adhabu ya Akina EL na BM Haina Ukomo

    Rais hatatoka kaskazini, Urais unarudi ulikotoka yaani kanda ya Ziwa.
  4. engwe1980

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Dr. Fenela Mkangala naye kaonyesha nia.
  5. engwe1980

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Mkosamali akikosekana bunge litakuwa kama mboga isiyo na chumvi.
  6. engwe1980

    Mlinzi mpya wa Dr. Slaa

    Mbona unaweka wigi kwamba tuache kusema mapungufu yake kwa chama nk. Ina maana ana mapungufu kwa chama? Asije akaishia kuwa kama Kagenzi.
  7. engwe1980

    Taarifa kwa Umma kuhusu UKAWA kugawana majimbo ya uchaguzi, mgombea mmoja

    Nilikuwa nakuona ni mtu wa hekima kumbe una upumbavu makalioni. Ya ni kutukana. Nawe acha upumbavu
  8. engwe1980

    Taarifa kwa Umma kuhusu UKAWA kugawana majimbo ya uchaguzi, mgombea mmoja

    Hii ni taarifa ya UKAWA au taarifa ya CHADEMA? Msemaji wa CHADEMA ndiye de facto msemaji wa UKAWA? UKAWA haina msemaji? CHADEMA ni UKAWA na UKAWA ni CHADEMA. Naona hapo lazima kinuke tu. Unasema taarifa si rasmi maana yake ina ukweli ndani yake lakini haijatolewa rasmi kama ambavyo tunaambiwa...
  9. engwe1980

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Hotuba nzuri iliyojaa uzalendo isiyo na maneno ya kebehi wala vinyongo bali maneno ya kujenga. Hongera Zitto Zuberi Kabwe.
  10. engwe1980

    Kanda ya Kaskazini CHADEMA hawakubaliki, wanategemea Kanda ya Ziwa na Magaharibi

    Ilishasemwa kwamba Rais hatatoka kaskazini, wa kasikazini mnahangaika bure. urais unarudi nyumbani yaani kanda ya ziwa. Tumechoka, tumewaachia Urais hamjautendea haki, afadhali tuurudishe nyumbani.
  11. engwe1980

    Nyaraka muhimu za skendo ya Wizara ya Ujenzi

    Wewe Mfamaji ameharibu wapi? Unayaamini maneno hayo kwamba alikuwa akikusanya mamilioni ya shilingi kila alipokuwa akipita. Hizi ni siasa za maji taka toka kwa watu wa kasikazini. mwaka huu Urais tunataka urudi nyumbani ulipoanzia yaani kanda ya ziwa. Watu wa kasikazini wanapigana vikumbo...
  12. engwe1980

    Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

    Uroho wa madaraka ni shida ndani ya vyama vya upinzani na hiyo ndio inakuwa nafuu ya CCM
  13. engwe1980

    Jimbo la Segerea ni mali ya CHADEMA ndani ya UKAWA au nje ya UKAWA

    Tata Maranya hakyamama waache mchezo, watu tumeishajipanga, tumeweka mtandao na kujenga chama na kujijenga jimboni harafu vishabani vitoke huko na kutaka jimbo eti kwa tiketi ya UKAWA, hakyamama hatukubali.
  14. engwe1980

    Kiti cha Ubunge Rorya - Wananchi Jimbo la Rorya muwe makini

    Owawa kitu gani, mnajifanya kujimilikisha jimbo la Rorya nyinyi watu wa Utegi, Kowak, Shirati, Ingiri Juu na kuwaacha wenzenu wa Kinesi, Ruhu, Komuge, Nyanchabakenye, Irenyi, Kirumi, Kuruya. Mwaka huu hatutaki lazima Mbunge atoke Irenyi lya Kahenge.
Back
Top Bottom