Recent content by EngNicolaus

  1. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Upo sahihi kabisa mkuu
  2. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Kwa nchi yetu matumizi yake mengi ni ya kuleta madhara Kwa wenye madaraka.
  3. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Code nyepesi hii mtaalam
  4. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Jasusi hiyo point nimeiacha Kwa makusudi kabisa
  5. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Code nyepesi mbona hii
  6. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Shida sio rahisi kui detect pia.
  7. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    N Novichok ni biological weapon ambayo iligunduliwa USSR Kipindi cha miaka ya 1970's mpaka 1990's kisha kuja kufungiwa matumizi yake mnamo mwaka 1997. Novichok hushambulia zaidi mfumo wa central nervous system Kwa kuifanyia overstimulation. Kwa lugha ya kijasusi hii ni "undetectable and easy to...
  8. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Share mawazo yako mkuu
  9. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Sahihi kabisa jasusi ambaye alikua double agent wa KGB alifariki kupitia hii sumu.
  10. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    That is correct in other words " same atomic number but different mass number"
  11. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Moja ya side effects za polonium ni USO kuwa mweusi Yani kitaalamu hyperpigmentation ya melanin. Sasa toka COVID ianze ni nchi Tatu duniani ziligoma kupokea chanjo ikiwemo Tanzania na Burundi na mpaka kufika July 2021 viongozi wote walifariki katika mazingira ya kutatanisha.
  12. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Ni kweli inabidi ihifadhiwe kwenye lead case ili kuzuia alpha particles zisiweze kutoka na kuleta madhara. Hivo usafirishaji ni gharama lakini inawezekana. Mwenyezi Mungu azidi kutuongoza adi nchi ya ahadi, Amina.
  13. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Nimeikwepa makusudi kabisa ili kutokuleta taharuki.
  14. EngNicolaus

    Fahamu kuhusu Polonium-210

    Kaka nadhani umeshajua nilichotaka kukisema na moja ya side effects zake ni USO kuwa mweusi due to hyperpigmentation. Binafsi nahisi walimaliza jamaa Kwa hii kitu.
Back
Top Bottom