Yuko sahihi soko moja wapo lililoweka wifi ni bukoba rwamishenye aiseh sema wameweka na mfumo wa malipo kabsa unafika pale buku ni masaa 12 yaan kama vile wifi mtaani wamezungua sana wangetuachia sisi hiyo show
Wakuu habari ya muda huu, poleni na majukumu
Nina changamoto yangu moja naomba msaada, nina taa yangu moja ni Watts 5 Dc nataka ikae inawaka kwa masaa 12 na kuchaji simu pia.
Hivyo nilikuwa nawaomba wataalamu wa betri za (Li-ion) Lithium mnisaidie naweza kutumia betri ngapi na za mAh ngapi...
Ivi nyie hamuwezi kukaa mkaongea mengine au mkaleta nyuzi nyngne mbali na uislam??? Kama hamuupendi achana nao manaa hata mkiuponda kwa namna gani uislam ni namba moja dunian na ndo Dini ya kwel huko kwengine ni sehem ya kukusanya kipato tu sasa bas naomba mkae mtulie na mustache uislam kama ulivo
Upo sahihi akhy ila sasa Allah akaja tena akamalizia kwa kusema
“Na unapowaona wakizama katika maneno ya dhihaka, basi jiepushe nao…” (6:68)
Haijalishi ni vipi tu kaka tuwaache uzuri wanajua tu hamna mgeni hapa lakn pia kama ulivosema hawawez kukuridhisha mpk mfate mila zao ivo tukaushie...
Ndugu yangu naomba tuheshimiane
“Nyinyi mna dini yenu, na mimi nina dini yangu.”
Nmekuheshimu sana ndo maana nkasema huu uzi ni kwa ajili ya waislam tu kwaiyo sijui uku umekuja kufanya nini kwa hiyo naomba kila mmoja awe na mipaka kwa mwenzake na pia kabla ya kuongea chochote kitafakari mara...
Asssalam alykum warrahmatullah wabarakatuh kheir ndugu zangu katka imaani
Allah anasema katika quran tukufu
Surat Al-An‘ām (6:108)
“Wala msiwatukane wale wanaowaabudu (miungu) badala ya Mwenyezi Mungu, wasije wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa uadui bila ya kujua.
Hivyo ndivyo tulivyopamba kwa...
Huyo kashachanganyikiwa tu anatafuta pa kujipenyezea unajua mtu akishatoka kwenye uislam direction yake inapotea kabisa kwani uislam ndo maisha ya kila mwanadamu na atakaeiacha bas amepotea!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.