Recent content by enginne

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Nimeamua kukupuuza mkuu,nimeshajua shida Yako ni kubwa kuliko nilivyokuwa nafikiria,kukusaidia ni nje ya uwezo wangu endelea kutukana tu ndo akili Yako ilipoishia,matusi Yako na yakurudie wewe
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    K Kirefu wewe huna akili kabisa labda ya kwenda haja na kuvuka barabara tu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Soma vizuri yupo Dar,kaolewa ana mtoto,G ana duka lake G ni km mdogo wake,hamfokei n.k heshima km zote
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Boss,ombi Uzi huu usiutelekeze siku moja moja unatupia ata summary ya heka heka na majanga uliyoyaruka ili kumaliza uzi huenda tukaokota ya kujifunza
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Hii ni simulizi boss ilishapita mpaka kuona mtu anasimulia ni zilipendwa mara nyingi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Maisha acha tumwombe Mungu atupe uwezo,hiyo family imeathiriwa na hali ngumu ya maisha,mara nyingi umasikini hauna heshima
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Kwa kuwa aliamua kutubless kwa hiari pia uandishi si mrahisi na yeye anajitahidi kuandika Kwa mpangilio bila typing errors na utumishi na mishe nyingine tumvumilie
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Samira ni obvious Kwan alikuwa victim wa kudanganywa asingeweza kumuamini jamaa Tena,so akachange na namba na jamaa hakuna haja kumkomalia kumtafuta,ni maji yaliyomwagika
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Nakazia pia!ila mleta simulizi asishawishike kuedit sana ije na uhalisia wake
  10. E

    JamiiForums Tanzania The dark side of business

    Post # 775 episode 12
  11. E

    JamiiForums Tanzania The dark side of business

    Nina swali Kwa nini unaandika M-ngu na G-d usiandike full?
  12. E

    JamiiForums Tanzania tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

    Nimixxie ka 30 apo unakuja kuja
Back
Top Bottom