Recent content by engineer rutebuka

  1. E

    Msaada wataalam

    Pombe hata ladha yake siijui
  2. E

    Msaada kuhusu tatizo la mafua

    Kwa maisha hata red meat uitoe wapi
  3. E

    Msaada kuhusu tatizo la mafua

    Yaani inasumbua kinyama aisehh
  4. E

    Msaada wataalam

    Nimekuwa na tatizo la kusikia vitu vinanichoma choma kwenye vidole vya miguuni na kuisi miguu kuchemka hill tatizo linanifanya nikose hata usingizi naomba mwenye ujuzi anisaidie jamani nateseka mwenzenu
  5. E

    Msaada kuhusu satellite

    Tusubili majibu kutoka kwa wadau
  6. E

    Msaada kuhusu satellite

    Je MEO inadumu kwa mudà gani?
  7. E

    Msaada kuhusu satellite

    What is the average lifespan if a satellite
  8. E

    Msaada kuhusu satellite

    Nimeingia google Ila sijapata majibu yaliyosimama
  9. E

    Msaada kuhusu satellite

    Naombeni mnisaide hivi satellite inadumu kwa miaka mingapi toka ianze kuzunguka kwenye orbit yake
  10. E

    Jinsi ya kuwezesha simu ya Vodafone kutumia laini nyingine

    Simu yangu ni Vodafone laini mbili moja inatumia laini ya Voda na inaruhusu internet nyingine inatumia lani zote lakini uwezi kuingia internet sasa naomba msaada was kuiwezesha lani inayoruhusu internet itumie laini zote Sent using Jamii Forums mobile app
  11. E

    Civil engineering ni moja ya kozi inferior UDSM-COET.

    Kaka naomba uniweke wazi maana kwasasa Niko dip ya tele maana mazalau ya hawa jamaa yananitia presha Sent using Jamii Forums mobile app
  12. E

    Civil engineering ni moja ya kozi inferior UDSM-COET.

    Mbona mnanikatisha tamaa jamani kuhusu tele dah Sent using Jamii Forums mobile app
  13. E

    Msaada:kwa mwenye ufahamu na MSAN/MSAG

    Ndugu mi napiga telecomm engineering nimekuwa najiulizaga kuhusu MSAN zinazofungwa pembezoni mwa barabara zina kazi gani kwenye mawasillano mwenye ufahamu wa hiki kitu tusaidiane Sent using Jamii Forums mobile app
  14. E

    Dawa ya tatizo la kupasuka pasuka midomo

    Jamani mwenye kujua dawa au namna yoyote yakunisaidia ili kuondokana natatizo la kupasuka pasuka midoma ambalo ilimenisumbua kwa muda mrefu msaada jamani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom