Recent content by ENGINEER M

  1. E

    JamiiForums Tanzania Naipenda RAV4 (1996)

    Heshima zenu wadau. Napenda RAV4 1996 model na Mungu akipenda nitaagiza. Naombeni ushauri kwa waliotumia kama ni gari zuri au la!
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WanaJF wenye uzoefu na mahusiano/ndoa nisaidieni tafadhali

    Ni washikaji, tumeivana hatufichani kitu
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WanaJF wenye uzoefu na mahusiano/ndoa nisaidieni tafadhali

    Mimi ni mwanaume, nina rafiki yangu wa kiume tunayependana sana kwani tumetoka naye mbali katika maisha kwa ujumla. Rafiki yangu huyu alitokea kumpenda mwanamke mmoja miaka mitano iliyopita akamuomba urafiki akakubali, waliendelea na urafiki wao wakakutana kimwili hadi wakampata mtoto wa kiume...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    2015 tumchague mkrito alafu atembelee Oman tuone atapewa zawadi gani.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mama wa Taifa Hili ni Nani?

    Mke wa Baba wa Taifa hili
  6. E

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

    Na kwa jinsi alivyoandika kwa hasira, huyu atakuwa ni KIJANA.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

    Yeye angefanya nini wakati kazi hazipatikani kirahisi na anategemewa?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

    Yeye angefanya nini wakati kazi hazipatikani kirahisi na anategemewa?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Sendeka na Pinda wateta Bungeni.

    Inawezekana......
Back
Top Bottom