Sirare Nairobi ni ksh1500 Nairobi Mombasa ni 1700-2000 inategemea na basi ambalo utatumia,Kuna mabasi kibao tu Kama Ena coach, easy coach, guardian angel,nyamira, ukifika migori kwenyewe utapata Tahmeed ni vizuri utumie Tahmeed maana watakueka moja kwa moja kwa mabasi yao ya Mombasa,Ena coach...
Sidhani Kama kajiuzulu maana ninavyojua Ruto Jana alifanya mabadiliko jeshini na huyo general kapewa majukumu mengine na jeshi la Kenya DRC lipo chini ya kamanda mwengine.
Unajua mtu akiwa mjinga usibishane nae utakua unampa cheo,yeye anajifanya hatukuzi ukabila ilihali jina lake Ni la kabila lake hajachukua jina la kabila lengine akajiwekea.
Wapemba Sasa watapata huduma,hata wengine wajifunze angalau udereva maana Kama huna kitambulisho hata huwezi ukajifunza udereva ,na pia wasome maana sidhani Kama wamesoma pengine walio kuwa na akili wakaasi upemba na kujiita majina ya jirani wao Kama wadigo na wadhuruma ili wapate huduma za...
Kama huna kabila utakua umetokea wapi? Maana hakuna mtu ambae anazaliwa kutoka mbinguni na akarushwa hapa ,kila mtu dunia nzima ana kabila hata Yesu ana kabila lake, hatutaki watu watoke nchi nyengine wanakuja tu kuchukua vitambulisho eti Ni wa Kenya abadan, kwanza ukienda kuchukua kitambulisho...
Hata Tanzania serikali inajua kabila la kila mtu usijitie hamnazo , kwani wazawa wa Moshi Ni kabila gani? Wazawa wa morogoro Ni kabila gani, wazawa wa mtwara Ni kabila gani ? Mbona mnajifanya zuzu kwa Mambo ya hazarani? Leo hii ukatajwa tu kwa jina tayari unajulikana unatoka kabila lipi ,kwa...
Kuomba uraia Ni tofauti na kutambulika Kama mwenyeji, kwenye kuomba uraia yapo Mambo mengi hata ukapewa uraia huwezi ukafanya lakini ukatambuliwa Kama kabila Kuna faida yake zaidi ya mhamiaji,pili watu zaidi ya laki moja kwa mfano hamuwezi kuomba uraia mkapewa uraia anapewa mtu mmoja mmoja Ila...
Hawangepata vitambulisho,ajira na huduma zozote za kiserikali hata kuwania nyadhifa za uongozi maana walikua wanaonekana Kama watanzania Ila Sasa hivi Wana haki sawa na wakenya wengine.
M23 are rwandese refugees who went to Congo during the genocide of 1994 they are famously known as banyamulenge and that is why kagame is using them to create another country in DRC which has a lot of minerals.
Si Uganda ipo pale kupata madini na kagame pia vile vile kwani umeambiwa Kenya hawaijui thamani ya gold na diamond? Kijana utajua hujui ,kaa kando uone mchezo unavyochezwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.