Kama kweli rais alimtuma huyo salma kumwakilisha katika msiba ule hali akijua mkewe si mtendaji wa serikali basi hapo ni wazi rais wetu amevunja katiba alioapa kuilinda maana kwa katiba ya sasa jamhuri ya muungano ina maraisi watano kwa nini rais asitume mmoja kati ya hao wanne hii ni dharau
Hawa magamba wana matatizo kweli yaani kwa makusudi na bila hata chembe ya aibu wanajaribu kuwachafua watu safi wasio na tuhuma yoyote ndani ya Chama na nje. Harafu eti wanamsafisha mtu kama lowassa sisi wapenzi wa Chadema na UKAWA tunawakubali manahodha wetu DR.SLAA na MBOWE maana ni mwiba kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.