Recent content by engineer 1

  1. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

    Ni kuwa na subila maana kwenye website zao awaoneshi , kikubwa ni kufatilia news na updates za selections
  2. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Civil engineering Mechanic engineering Electrical engineering .. Ila chagua ambayo uko na passion nayo na uko compitent Kila la kheri
  3. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

    Umeaply vyuo gan?
  4. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Mbna nyingine zinagoma kama kupata io 24
  5. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    [emoji23][emoji23]au sio
  6. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Ebu tusaidiane kufikili mtunzi alitumia njia gani kupanga izo namba ili tuwezze kupata the missing number?
  7. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Big up
  8. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Big up sana
  9. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Tafuta A,B , C na D
  10. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Ubongo lazima uji shughulishe mkuu
  11. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Kiaje
  12. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Wanahesabu tukutane humu

    Tafuta namba zinazoweza kukaa kwenye izo box [] ili kukupa jibu katika pande zote mbili juu na chini Njooni tupashe damu. Find the value of A, B, C and D?
  13. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

    Kuna siku nakumbuka niliwahigi kuambiwa kuwa njia nzur ya kutongoza dem ni eye to eye contact basi kuna dem ivi primary nikawa na muangalia akigeuka nyuma alaf natabasam akawa na yye anacheka kicheko cha ku smile , basi nikawaambia washkaj zangu kila kityu wakaniambia apo tayal ameshakubali we...
  14. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

    Nimeelewa io [emoji23]
  15. engineer 1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda chuoni kujiendeleza kimasomo, naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Mwalimu wa masomo gani kwanza?
Back
Top Bottom