Hivi inakuwaje leo wale walikuwa wanajiasibu kwa mbwembwe za kuleta upinzani, ndio wanaokiita G55. Wanatoka wapi?? Dhamira yao ni ipi?? Si uchaguzi uliisha?
Ni aibu sana kupingana viongozi wa Chadema kwa maslahi ya matumbo yenu. Hata huko mtakapohamia G55 hamtakuwa na Audacity ya kuleta...
Nipo natokea Arusha kuelekea mikoani. Tumesimama Minjingu kama Lisaa tukipisha Msafara na huo msafara mpaka sasa haujapita.
Busara zitumike kuona namna bora ya kusimamisha wananchi wanaosafori kiwahi majukumu mengine ya kitaifa.
Tunawheshimu viongozi wetu ila ni vyema taarifa ya msafara...
Jamani nauliza hivi kwa sababu nimeangalia kesi inayoendelea kati ya Winshear Gold Corp na Tanzania ARBN 20/25 kwa kweli inasikitisha. Profesa hana majibu yoyote yanayoweza kuishawishi Tribunal kuamua in favor of Tanzania. Kwa sababu hiyo, ninasikitika sana kuona wasomi na walimu wakongwe wa...
jibu nilichoandika ndugu yangu. hatupingi kuwapa wageni kuwekeza. hoja ni je unawapaje? mpangaji wako ndio akuandalie mkataba halafui unausaini hata bila kuusoma.
Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi?
Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na...
Serikali ni aibu sana kuwatumia wanasiasa kujibu hoja za kisheria wasizoweza. Hii ni kwa sababu tokea mjadala wa Bandari ya DSM umeibuka, hoja za watanzania wote ni namna mkataba ulivyo. Kuna vifungo vya mkataba vinatatiza maslahi mapana ya Taifa letu Tanzania.
Ni vyema mujibu hoja kitaalum...
Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake.
Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
hapana hata wewe huwenda hujajenga kwenu. kuna uthibitisho gni kuwa umejenga kwenu? kuwa na nidhani na uwaheshimu waliokutangulia siku zako zitakuwa nyingi.
Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.