Recent content by eng_stan

  1. E

    PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

    Ni vigumu kuelewa kama hautaki kuelewa. Ufafanuzi umetolewa mara nyingi lakini ugumu ni pale watu hawataki kuelewa. No reforms no election, CDM watashiriki uchaguzi kwa njia ambayo wataona inafaa. Ukizuia uchaguzi, tayari umeshiriki uchaguzi, ukipiga kura/ kupigiwa tayari umeshiriki. Lakini...
  2. E

    Kabla ya kumkashifu WARIOBA,jiulize haya

    Ni ajabu kumuona Kinana, Nape, Sendeka, JK ni Wazalendo zaidi kuliko Warioba, Butiku, Salimu, Jaji Ramadhan. Unafiki ulio wazi.
  3. E

    Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Uelewa mdogo Adha. alisema ataanza mchakato wa katiba mpya ktk siku 100. Unahitaji uelewa mdogo na darasa la saba kuelewa kitu hiki. Ulitaka watu wote wawe wanajeshi? utabaki mbumbu wakati tunasonga mbele
  4. E

    Kwa mmomonyoko huu wa Mbowe,nitashangaa sana bunge lijalo nikakuta Mbowe bado ni KUB

    Kuna haja ya kumpuuza. Uenda alipiga chapo. Bila shaka atatueleza mengi kuhusu uteuzi mwingi wa wakuu mbali mbali ambao sifa zao ni kuteremsha vitu. Hayo si matumizi mabaya ya madaraka? Mwigulu kachanganyikiwa, nyama zake na wenzake zimeshindwa, atabaki kuropoka wakati watu wanasonga mbele...
  5. E

    Dr Kitila Mkumbo, "UNDUMILAKUWILI" si hoja ya kipuuzi...!

    Kama huwezi kudhibitisha lini Dr. Slaa alilipia kadi, hoja yako ni mfu na unadadia hoja mfu ya Nape. Mbona hujiulizi maswali yafuatayo. 1. Nape, Sitta walirudisha wapi kadi ya CCJ? 2. Kadi/gamba hakuifanyi kuwa mwanachama ila matendo na dhamira yako ndo inakufanya kuwa mwanachama. ni kama...
  6. E

    Hatua za haraka zinahitajika, Wafuatao wameihujumu CCM

    anguko la vyama dhalimu huanza na wao wenyewe kuchanganyikiwa. kumbuka mnara wa Babeli. Udhalimu uliofanywa na BM, EL na mzee wa usingizi ktk nchi hii hauwezi kuwaacha salama. kazi ndo imeanza
  7. E

    Madiwani wapya

    wameshinda/pora na kiti kingine ktk mkoa mpya wa Simiyu
  8. E

    Madiwani wapya

    ccm wameshinda na Simiyu ule mkoa mpya. wana viti 3
  9. E

    Ahsante Mungu kwa kunipa nafasi ya kuchangia damu ya ukombozi wa taifa langu!

    pole sana. Mapambano dhidi ya ufisadi yana gharama. Damu yako ni chachu ya mapinduzi halisi
  10. E

    Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM

    ccm waanze naaliyempitisha mara 2.Sitta kapoteze muelekeo, wasi wasi anaweza hakose sehemu yakuegemea siku si nyingi
Back
Top Bottom