Recent content by ENG. MTAKA

  1. E

    Dalili hatari kipindi cha ujauzito ambazo si za kupuuzia

    Dalili hatari kipindi cha ujauzito ambazo si za kupuuzia Hata kama umesoma sana na kuongea na wazazi mbalimbali kuhusu dalili mbali mbali kipindi cha ujauzito, bado itatokea baadhi ya wakati ambapo utakuwa huna uhakika kama unavyojisikia ni kawaida au la. Dalili zifuatazo ni muhimu kuzipa uzito...
  2. E

    Fahamu mambo muhimu ya kufanya katika kila hatua ya Ujauzito

    Diana Spencer, Kikubwa akafanye vipimo hapo ndipo ataeleewa ukweli wa Jambo kuna uwezekano ikawa Mimba au ikawa sio mimba kwani kuna muda mwingine mawazo ya Mimba yanaweza kumfanya mtu akaishi akiwa na dalili zote za mimba kumbe hakuna cha Mimba. Kwa hiyo akifanya kipimo kwanza atakuwa na...
  3. E

    Fahamu mambo muhimu ya kufanya katika kila hatua ya Ujauzito

    Nakushauri umwambie aende kwenye kituo cha Afya akafanye vipimo kuondoa huo utata.
  4. E

    Fahamu mambo muhimu ya kufanya katika kila hatua ya Ujauzito

    Je alifanya vipimo? na akapewa ushauri wowote na pengine ni kwa nini hakupewa? kama kuna maelezo yoyote uliyopewa na Mhudumu wa Afya basi hupaswi kununua lakini kama hakuna maelezo au ushauri wowote uliosababisha aipewe basi naomba arudi kituo cha afya alipopata huduma aweze kupewe hivi vidonge...
  5. E

    Fahamu mambo muhimu ya kufanya katika kila hatua ya Ujauzito

    Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito 1. Panga kuonana na mkunga wako Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye. Kwenda na wakati ni jambo la msingi pindi unaonana na daktari, inategemea unaishi wapi na lazima uwe umepanga kuonana na...
  6. E

    Vifaa vya video production

    Biashara2000 Kwema? naweza kupata vifaa vya Video Production?
  7. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    JAMANI WALE WA KIGOMA NAOMBA KUBADILISHANA KITUO Mimi Mwl H. GONDO Mimi nipo shule ya sekondari nyamagoma ipo katika kata ya mtegowanoti taarafa ya nguruka wilaya ya uvinza kigoma. Hivyo mikoa ambayo nahitaji ni iringa, mbeya na njombe.mawasiliano 0768950924 au 0762439040. NAOMBA SANA...
  8. E

    Shamba zuri linauzwa.

    Kaka hili shamba tayari ulipata mteja? Au vipi? Naomba kufahamu maana nipo serious sana nahitaji hilo shamba
  9. E

    Prof. Issa Shivji bado tunahitaji Tanganyika huru

    Kweli tunahitaji mabadiliko ya kifikra maana hata wasomi wanapingana kwa maslahi yao binafisi sasa tz inaend wapi? natamani kuona maoni ya wananchi yakifanyiwa kazi na sio hujuma kama zinazoonekana
  10. E

    Hodi ndugu zangu?

    Nami napenda kutoa shukrani kushawishika kuingia huku nafurahi kuwa nanyi nawapenda jamani
Back
Top Bottom