Mi nadhani utakuwa sawa ukisema tu "Nakupa pesa Kwa sababu nakupenda" and unatambua kuwa anamahitaj yake. Ila ukiendelea huko kwingine unaendelea kuwafanya mabinti ni kifaa Cha kukustarehesha.
Na vipi ukimpa 50k kumbe Kuna mwamba anampa 100k, vipi itapata hiyo utii na good sex uloitegemea...
Mwanzo umeanza vizuri ila ulipoanza kuelezea kanuni ya pili, umerudi kulekule ulikokuita Kwa mwanaume mpumbavu... Maelezo Yako yaneonyesha unampa ela ili kununua pussy, respect and everything... So na wewe ni .....
Was a joke... anyway, kosa lako ni kusahau kwamba huyo binti tayar amekua na possibly akawa na mwana ambaye yupo age sawa na wewe kabisa. Punguza sana kumfatilia, zungumza nae pale inapobidi ila sio Kila mara ndo maana hata anaona unamkera. Muache kwanza muda utafika atajutia alilokukosea na...
Ukiona limeiva jua ndo lishaanza kuoza Ivo....
Mwambie tu ukweli Binti ndo ameshapepea huyo, ni yeye tu ndo hakuwa na taarifa...
Usisahau kumpa pole pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.