Recent content by endasetah bure

  1. E

    CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

    Hivi CCM hupokea pia ruzuku ya serikali? Kama ndivyo kwanini no chadema tu unanangwa kupkea ruzuku? Ruzuku ya CCM imewahi kufanya Nini cha umma?
  2. E

    Mama Maria Nyerere Atimiza Miaka 93. Rais Samia amtakia afya njema,furaha na amani.

    Vipi mke wa kwanza wa ndoa ya kimila wa Julius kambarage mugendi nyerere Bhoke watiha hafai kupewa zaidi ya sifa hizo???
  3. E

    Chama cha Walimu (CWT) kitapata wapi ujasiri wa kutetea msalahi ya Walimu?

    Msingi wa cwt kuwa Kama ilivyo leo no matokeo ya utekaji uliofanywa na unaofaywa na serikali kufifisha vyama huru vya wafanyakazi!!!!!Tanu iliifuta TFL Kwa kumtumia kawawa Rashid na kumpoteza kabisa Michael Kamaliza!!!! Nani hajui Margret Sita,kachero Rwehumbiza Anatoli walivyomwangamiza raise...
  4. E

    Paul Makonda: Anayempinga Rais Samia, anampinga Hayati Magufuli kwa maana yeye ndiye aliyemwamini kuwa makamu wake wa urais

    Lugha nyepesi anaye pinga uuzwaji wa bandari anampinga magufuli? Anayesema samia amefungua nchi anampinga magufuli! Aliyeruhusu tena mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa wanampinga magufuli? Anayesema hakuna kama samia anampinga Magufili! Hakika kaburi limeusikia ukweli wa makonda kuwa...
  5. E

    Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

    kwaniniawe katwale dc wa chato na si mtu mwingine? CCM haipo Tena chato Sasa ni wakati sahihi wa CHADEMA tuuu
  6. E

    Kwanini Hayati Magufuli alikuwa hapendwi jimboni kwake?

    Unaifahamu kasenga,mwangaza naichwankima?nañi wengihuko Kama siyo waha watupu?usiisahau bwanga minkoto na nyakayondwa!!!
  7. E

    CHADEMA sio kwamba mnalazimishwa kuwa kama ACT Wazalendo bali mnakumbushwa kuwa waaminifu kwa pesa za umma

    Niambieni Kama TANU ilikuwa na jengo lake inalolimiliki wakati wa kudai kinchoitwauhuru? Ni lini CCM ilijenga ofisi Kama hawakupora viwanja maeneo na majengo waliyojengwa na fedha za serikali? Au ikulu ya magogoni tulijenga yetu aula!!!!Vipi idaraza serikali zilizopanga nhc au msajijli wa...
  8. E

    Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Hivi kupings hoja au kitu ni kufanyaje?hivi hakuna tofauti kati ya kupings na kukosoa?CCM acheni dhana potofu ,palr serikali au viongozi eanapokosoleea utendaji au kauli zao msiuuvike kuwa ni upinzani Bali jisahihisheni kwa kumenzi Julius mogendi kambarage nyerere
  9. E

    Barua ya wazi kwako IGP wetu Simon Sirro

    Umemkumbusha vizuri ila umesahau kumwomba aondoe alama ya polisi wetu yenye jembe na nyundo ambayo ni alama ya chama cha siasa.
  10. E

    Perkins generator

    ဘဣဖဖဣ
  11. E

    Perkins generator

    နညယ ဋဣပပဌဣဎၹဤၬၻဣညဣ
  12. E

    Perkins generator

    ဣဤဣဋနဖဖဣၣဟဟ
Back
Top Bottom