Recent content by encyclopaedia Tanzaree

  1. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kadi na website ya harusi yako

    Mnapatikana wapi
  2. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KWELI PreGE2025 video hii ikimuonesha Raisi Samia akitoka nje ya mkutano mkuu ili wajumbe wa mkutano wammpigie kura

    Mbona ishajibiwa kupitia thread hii Thread 'video hii ikimuonesha Raisi Samia akitoka nje ya mkutano mkuu ili wajumbe wa mkutano wammpigie kura' KWELI - Pre GE2025 - video hii ikimuonesha Raisi Samia akitoka nje ya mkutano mkuu ili wajumbe wa mkutano wammpigie kura
  3. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

  4. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Tundulisu kawadhikaki walimu ambao hawana ajira

    Je habari hii ina ukweli?
  5. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Mngemchagua Hashim Rungwe angetekeleza🤣🤣
  6. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Imagine mtoto wa kike anaenda kichakani 🤣🤣
  7. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Labda ni njia ya kuongeza rutuba ili dom iwe ya kijani
  8. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Bora Mwalimu Nyerere kuliko hii kitu aisee😀😀
  9. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    UDOM ni kama shule ya msing, kidumu na ufagio🤣🤣
  10. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Hata kambi haifai, labda apewe mwekezaji😁😁
  11. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Na kunguni zile halafu maji hakuna🤣🤣🤣
  12. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
Back
Top Bottom