Ndugu wana jf naomba msaada jinsi ya kujizuia kupizi mapema. kiukwel sijawahi piga punyoto toka mwaka jana 2013 january nifanye mapenzi had mwez huu nilipofanya mapenzi na mchumba angu hii wiki ya pili huwa na pizi mapema kabla hata dk 2. na nikikaa dk 15 mzee anadai tena kwa hasira na atachukua...
Ndugu walimu watarajiwa wenzangu pamoja na hamu kubwa ya kusubiria ajira hatuna budi kuwa wapole kwan serikali yetu haina uchungu na wanainchi wake ndio maana kila mtu aliyoko wizaran anatamka anavyotaka kuwa ongopea watu wake kwa kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaaa .
Na tatizo kubwa ni...
Radio TBC Taifa ktk taarifa yake ya habari kwa ufipi ya saa 12 hii jion imetangaza ikulu inatarajia kutangaza majina ya wajumbe wa katiba muda wowote kuanzia sasa kwan waandishi wa habari tayari wapo ukumbi wa ikulu wakimsubiri Dr. jk aingie ukumbini
Kwanza napenda kuwasukuru wote milionidhauri vizuri ns hata wale walioniponda kwani akili ni nywere kila mtu anazake.
Mimi ni yule niliyeomba ushauri juu ya nilitumia USA dollars za mchumba angu kwasjili ya kujengea makaburi ya ndugu zake. wakat yy akiwa ulaya.
Sasa leo naomben...
ndugu walimu tuwe na subira kwan hazina ndogo za halimashauri hazijapokea pesa nchi nzima toka hazina kuu coz bajet ya 2013/2014 ilielekeza kuwa 7.2% ya mapato yatokanayo na kodi za line za simu zitaelekezwa wizara ya elimu lakn kwakuwa ilipingwa vikali hivyo ilivuruga malengo ya serikali kwa...
ok. Narudi tena kwa mara nyingine kutoa feedback juu post yangu ya january 2. yule mchumba angu karudi toka london alinipigia cm siku mbili kabla hajaja kuwa nikampokee airport ila mm sikwenda coz awali alikataa nisiende kumpokea hivyo alikuja yy had home.
nilimkaribisha tukasalimiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.