Recent content by Empty maisha

  1. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge yeyote anayerudi jimboni leo miaka zaidi ya 5 imepita kutembelea jimbo asichaguliwe tena

    NAMI naongezea. Ingewekwa Sheria Ili uweze kugombea ubunge, uwe unaishi/ umeishi Jimbo husika siyo chini ya miaka 10 mfululizo. Uwe na nyumba na wewe na familia Yako uishi Jimbo husika kwa kipindi tajwa hapo juu. Ilivyo Sasa mtu anatoka huko anakuja kugombea hata hajui mahitaji ya wana...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu MSAADA tafsiri ya hapa na kwa nini iwe rost?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu samahani kwa hiyo nitatoa kupitia wakala yeyote?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wakulima mnazidi kumiminiwa neema na Rais Samia, sasa Mfuko wa Kukabiliana na Kuporomoka kwa bei kuanzishwa

    Mkuu kukopa benki kwa AJILI ya kilimo masharti ni yaoi na taratibu ni zipi?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Iko main account mkuu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu 1xbet walinupa free bet ya sh 4000 nikscheza single bet ya odds 4.5 na nimeshinda natoaje hiyo hela ipo 22000
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?

    Jamani Hadi kinyaa. Mimi katika mji wangu kuna watu wenye shida na taabu wanahitaji pesa kwa AJILI ya matibu tena hela kidogo tu lakini wao wanafanya upuuzi huu. Mungu awajalie 2025 warudi tena.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Anaejua sakata la jamaa wa Kigamboni waliojiunganishia bomba la mafuta liliishia wapi atujuze

    Mama hausiki ilikuwa enzu za mitano tena
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu ungeweka hapa hiyo app tatizo hata Mimi lipo
  10. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro acha kupotosha umma, Tunataka Katiba Mpya iwe na uwezo wa kutatua changamoto zetu. Ikiwezekana kumshtaki Rais na Mawaziri

    Acha kuwa na mawazo potofu na ya kishetani. Hao watu wabaya kwa Sasa hawafanywi lolote.Wanaendeleza ubaya. Tunataka katiba mpya na Sheria zake ziseme Mayala akipewa nafasi siyo ya kulambamo Bali ni utumishi na akafanye hivi au vile,ikitokea kafanya hivi au vile katiba na Sheria zake ziseme...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mzee Likwepa: Jerry Silaa amelidanganya bunge hakuna Mwananchi aliyemtuma aiombe Serikal iongeze Bei ya Mafuta kwa tsh 100!

    Mbona ni kawaida sana kwa viongozi wetu kusema uongo tena kwa kutumia bunge la wananchi ambalo lilinajisiwa na mwenda zake. Umesahau yule bwana yule aliyesema tozo za kwenye miamala ni Watanzania wameomba ingawa Mimi najua ni jamaa yule wa huko huko jijini Dar. Kwa hiyo akitokea mpumbavu mmoja...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa mkuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu ngoja nilale. Mkeka wangu uko mikononi mwa Porto nimemwomba goli Moja na mwenzaka kala red tayari. Leo nikisema kanji kashikilia nitakuwa mwongo.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge kumpigia kura Spika wa Bunge kutokuwa na imani

    Aka la mwenda zake
Back
Top Bottom