Habari za saa hii. Kila hadithi au kisa kinapande mbili za maelezo huyo dada kasema yake lakini mkeo ujafahamu yake pia.
Kikubwa kama alivyokuambia huyo dada wewe usizidishe wala kupunguza muite wife kwa upole ambao hajawahi ona kwako kisha msimulie najua yeye atakuwa anamengi ya kusema kama...
Mie pia nimesoma foro and petiti koshuma niko na number zake na wengine na pia natafuta wengine. Na kuhusu waalimu nimeonana na baadhi tena kama mwalimu Salma,Vicky,lulanga,sewadi pia na mwalimu nyalika niliongea nae katika simu. Ila kasema walimu wengi wamefafiki pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.