Recent content by Emmp

  1. Emmp

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda

    Habari za majukumu ndugu zangu, naomba kujua nini faida anazopata mchezaji wa mpira wa miguu baada ya timu yake kushinda kombe. Natanguliza shukrani Pia soma: Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu
  2. Emmp

    JamiiForums Tanzania Ujazo

    Wazee kwema naomba kujua fomula ya kupata ujazo katika tank kwa tani,
  3. Emmp

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa ufupi kuhusu International Space Station (ISS); kituo cha anga cha kimataifa

    Samahani kwa kuchelewa, je chakula hupelekwa kila siku au hupelekwa mara moja mpaka miezi sita iishe. Na je wanaanga wakatika wanatoka duniani wanaingiaje kwenhe ISS kutoka kwenye rocket iliyowapeleka, halikadharika wanatokaje??
  4. Emmp

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Biashara. Habari vipi, sina uzoefu wowote wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi lakini kuna bidhaa nahitaji kuagiza kutoka china na mzigo unifikie moja kwa moja je jifanyaje?? Msaada please.
  5. Emmp

    JamiiForums Tanzania Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni

    Daaah
Back
Top Bottom