Recent content by Emmilian paul

  1. Emmilian paul

    Ipi nzuri kati ya Crown Athletes grs200 na Mercedes Benz C200 Compressor

    me nishafanya uchaguzi almost 90% nmechagua grs 200 ya 2010..naomba kujua tu fuel consumption yake..me s mtu wa fujo..naendesha km mzee tu..
  2. Emmilian paul

    Nimekopa nadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 30, maisha magumu na mshahara hautoshi. Nafikiria kuacha kazi

    Kwa maoni yangu ya haraka,kuna shida kwako na kwa mke wako,kiasi hicho cha pesa n kikubwa ulipaswa kufanikiwa,wazo la kufungua biashara ya nguo lilikuwa zuri,ila lilikosa usimamizi na pia hakukuwa na monitoring ya matumizi ya pesa ,pesa ilitumika kiholela..mwisho imepotea bila kujua.. Ama...
  3. Emmilian paul

    Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

    Kirangi Paul: Nna pc ina ram 8gb Processor core 5 Cpu speed n 2.5,,,,je ninaweza cheza fifa 18 au pes 18
  4. Emmilian paul

    Hallotel bundle GB za kutosha

    Kuna jamaa anaunga voda+tigo universty kwa laini ulionayo...nenden huko mnapata dakika za kutosha na gb za kutosha ....
  5. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Ok sawa ngoja nijaribu hii...ukisha inunua je una connect namna gani...ama n kuchomeka kifaa hcho na kucheza??
  6. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Naona hazikubali...je kuna namna nyingne aisee
  7. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Ndio kaka....ngoja nijaribu hiyo d3 na pia nirudie scp...maana angu haikua sawa na hyo apo juu
  8. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Nimejaribu scp niki install tu ...inafel hata kufanya kazi kwa usb
  9. Emmilian paul

    Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

    Msaada tafaghali namna ya kutumia wireless ps 3 controller kwenye pc ....naitumia kwa kupitia usb...nikitoa usb nayo inatoka....je nawezaje itumia kama wireles
  10. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Typing error tu kaka....msaada inawezekana kuitumia kama wireless
  11. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Ndio ina bluetooth na nina tumia window 10
  12. Emmilian paul

    Pc(window) game & play station 3 users

    Ninayo ps 3 controller wireless,nimejaribu kuitumia kwenye computer kwa kutumua usb wire inafanya kazi na ninacheza game zote vyema.. Kwa sasa naitaji kuitumia kama wireless yaan bila kuchomeka usb...je naitumia vp...msaada wakuu
  13. Emmilian paul

    Hallotel bundle GB za kutosha

    Wakae tu na gb zao...tgo + voda znatosha Mwanzo nilikuwa nawatumia lkn wameleta umbuzi.....nimetupa lain choon ili nisije wakumbuka
Back
Top Bottom