Mimi sina ajira, lakini kuna ndg yangu kanunua Noah no D, ananimbia niitumie nimpetee elf 20 kila Siku, naombeni kazi na hiyo Noah waku, no yangu ni 0752353146
Habari wanajamvi wenzangu, naleta Uzi huu , ili kuweza kupata ushauri ama kama kuna MTU tunaweza kujoin tukafanya biashara ya kilimo, tukalima kilimo cha muda mfupi mm Nina milioni 1 wakuu nisaidieni kufikiri nilime kilimo gani chenye Tija asanteni.
Kijana wa miaka 30 elimu kidato Cha 4 Nina ujuzi wa kuongoza watalii (tour guide) pia Ni hotelier Niko vizur jikoni(shef) Nina lesseni class D, nakuja kwenu kwa heshima kutafuta kazi kutokana Na ujuzi wangu, pia Niko tayari kufanya kazi yoyote halali ya kujiingizia kipato Kama itapatikana no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.