Naitwa Emmanuel, nipo Arusha Mimi ni kijana wa miaka 28, elimu kidato cha 4 nimesoma tour guide, Hotel management,pia Computer application, nimefanya kazi, ya waiting service kwa miaka 3, Arusha Tourist inn Hotel na front office Reception mwaka 1, niko tayari kufanya kazi kwa bidii katika...