Recent content by emmasonbern

  1. emmasonbern

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Pengine umesoma bango la ujenzi! hiyo sio kweli!.... mnataka kuua watoto wa watu....
  2. emmasonbern

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Kama ni hivyo mbona ni hatari,Lakini mimi naona kama umekosea kuchungulia, huwenda umetazama kwa haraka zaidi, kwa hiyo tazama tena tafadhali.....
  3. emmasonbern

    JamiiForums Tanzania Hodi! jamani, hodi wenyewe naomba mnipokee...

    Asante sanaaaa! nianzie wapi jamani?
  4. emmasonbern

    JamiiForums Tanzania Hodi! jamani, hodi wenyewe naomba mnipokee...

    Nafurahi sana kujiunga katika jamii hii ya watu wenye kufikiri sana, naamini sijapotea na ninamatumaini ya kulelewa vyema sababu me bado ni jani dogo ambalo linatakiwa likuwe kama mbuyu..., nashukuru na ninawapenda wote. Ila ninakaswali jamani "Kwakweli Tanzania ni nchi inayotambulika...
Back
Top Bottom