kiuhalisia zamani zile za kabla ya 2010 ccm walikuwa na wanachama hadi 5m, lakini tangu wakati huo upepo,kimbuga na mafuriko ya hama hama hadi jana ni dhahiri nape mwenyewe huko mtama ajiandae kuangushwa,na ukweli hawa jamaa hadi sasa wama wanachama wa maslahi kama 1m, na wanaccm imani laki...
mnaongea tu,dk alikuja cdm 1995 akitokea ccm,waasisi bado wapo hai,tunamhitaji dk km mtu mwngin yyt kujenga chama but we wont wait him kusonga mbeleeee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.