Recent content by emmanuel stanslaus

  1. E

    JamiiForums Tanzania Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    naona mmechanganyikiwa, kukaimu ni kawaida ya@ofc kwa mhucka mkuu akienda rikizo au ziara.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Loan appealing

    viongozi wa heslb tapeli tu.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kama hujajua kama umepata LOANS from HESLB tupia form index no usaidiwe

    kwa nin hata wle ambao tmeomba na ndo tnapaswa tuingie mwaka wa 1 na cio wanf wanaoendelea inakuwaje inaandka did not secure? juu ya hlo mi nashndwa kuwaelewa vzr.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini lawama kwa HESLB tu.

    huyo mpuuzi
  5. E

    JamiiForums Tanzania HESLB na watu wa DIPLOMA.

    mimi mwenyewe nimeandikiwa did not secure hv hii luga inamaanisha nini? maana nimechaguliwa chuo cha tia dsm bachelor in accountancy. nipo njia panda kulisongesha. hawa nacte ni taasisi telekez sana kwan kn koz za non prioty jamaa yangu amepata mkopo, yy amemalza 4m6.
  6. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi mwl s/m natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aje mwanza wly ya misungwi halafu mi niende dsm wly yeyote. mawasiliano, emmanuel.stanslaus@yahoo.com
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    ndg yangu hao watoto wapo cha msingi tuwen makin kwa kuwa na mpenzi 1, pia jaribu kumpima mpenz wako kila mnapokutana baada ya kuwa mbali kwa muda la sivyo ni majanga. pia ni vema kuachana na ngono zembe.
  8. E

    JamiiForums Tanzania kuhusu HESLB!!!

    jaman naomba kuuliza, lini bodi ya mikopo itatoa majina? kama mnafununu yeyote tujuzen.
Back
Top Bottom