Nakumbuka siku moja maeneo flan tukiongea uliwahi sema, Imba, imba mpaka watu waseme eee.. ongea kwa kuimba, fanya kazi kwa kuimba, hutubia kwa kuimba, siku zote watu wakisikia wimbo wako kwanza wanapata burudani na vilevile ujumbe. I salute you..
maadam nyimbo zako ziko hai bado uko hai bro...