“Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?”
Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga.
Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
Hizi tumbua tumbua zina double standard sana, Mbona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa Shinyanga ni fisadi sana
Na kapoteza mamilioni ya fedha lakini bado anadunda?
Mradi kama huo wa Ujenzi wa kituo cha Afya, ujenzi wa Chinji la kisasa, Ujenzi wa Dampo na ujenzi wa Barabara kote ni hivyo...
Pascal,
Unaweza kutusaidia kufahamu kama Noah zetu tutazipata ama la..!
BARRICK kumnunua ACCACIA sie Wadanganyika tunafaidika na nini?
Huku mtaani wanaulizia Balimi na Noah zao.
The 12 Laws of Karma are not laws. ... To set you on a path of good karma and free yourself from bad karma as it were. If the world around you is chaos, it is because there is chaos within yourself.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.