Recent content by emmanuel nyambwa

  1. emmanuel nyambwa

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia: Kwanini Lowassa anahutubia kwa muda mfupi sana?

    Tatizo la wabongo mlishazoea polojo hata dakika tano zinatosha kutangaza ilani na sio polojo nying zisizo na maana huo ni uongo ukiona mtu anaongea sana huyo ni muongo na ndo maana miaka 50 tunadanganywa tu jitambue ww!!
  2. emmanuel nyambwa

    JamiiForums Tanzania Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    Tulishawachoka hata msemeje mabadiliko yako palepale mnatumia muda mwingi majukwaani kubwabwaja tu umbea hatutongozw wananch tunatak sera!
  3. emmanuel nyambwa

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kigoma mjini mi nije Mwanza town no 0769226689
  4. emmanuel nyambwa

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Hiyo sio hoja maji yako shngoni
  5. emmanuel nyambwa

    JamiiForums Tanzania Yussuf Manji: Kingunge ni mnafiki, alilikata jina lake uchaguzi 2005!

    Hata Nape hakitoroka watamsema hawana dogo wao kila anaetoroka watasema kabla hajatoka wala hakuwa mnafiki si huo ndo urofa!
  6. emmanuel nyambwa

    JamiiForums Tanzania Haya yamemzika Lowassa kisiasa

    Kama alikuwa muhsika au mtuhumiwa asingeruhusiwa na nec kuchukua form nyie fisiem mtasema sana sasa subirini muone hiyo kazi ya sisi malofa na mateja tereh 25
Back
Top Bottom